Graphics Designs Showcase Thread

Strictly Syrup

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2013
Posts
1,227
Reaction score
1,821
Ndugu,
Ni dhahiri kuwa jukwaa hili ni jukwaa la watu wenye skills mbalimbali, zikiweno skills za graphics designing, na vinginevyo vingi. Lakini leo hii nimeona watu wote wanaopenda kufanya graphics designs, either kwenye mixtape covers, matangazo, au hata personal practice tukutane hapa kubadilishana mawazo, kupeana ujuzi mpya pamoja na kuonyesha kazi zetu tulizowahi kufanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…