Graphics design or Digital marketing?

The ice breaker

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2023
Posts
1,119
Reaction score
2,427
Wana Tech forum

Nijifunze skills ipi kati ya Digital marketing au Graphics design especially kwenye Motion graphics ? Kulingana na soko la Sasa kwenye nyanja hizo za technology
 
Jifunze zote kwa pamoja maana graphics design ni visual excution ya idea mbalimbali ilhali digital marketing ni zaidi kujifunza communications, strategies na tools mbali mbali za kurahisisha kazi ambazo nyingi zinaegemea katika graphics, photography and videography..

Chochote utachojifunza ni sawa japo graphic design ni nzuri zaidi maana ina wigo mpana wa kutumika katika digital na traditional platforms. Mfano ukiweza graphics, unaweza tengeneza posters , brochures hadi kadi..
 
Digital marketing - sifikirii Kama unahitaji kujifunza Ila jifunze graphic design na katika digital marketing tambua target audience mfano ukitaka kuuza cheap products Facebook ndo inafaa Ila ukitaka kuuza expensive product chagua Instagram

Persuasion skills
 
Mzee nimekusoma vizuri sana
 
Noted.. kumbe digital marketing Haina kasheshe sana
 
Graphic design ila usiache kujifunza AI (Artificial Intelligence) itakusaidia na kuokoa muda kwenye complex design.
Hivi kwenye swala la AI kuna kujifunza? Si ni kuwa na App husika na kutumia!
 
I started with motion graphics just for fun, but ended up using it for a small TikTok project. Playing around with effects made the content pop, and tracking engagement with something like capitalmediahub for TikTok Campaign Managment actually showed me what worked. It made me realize learning digital marketing side by side with motion graphics gives you a practical edge in making stuff people actually notice.
 
Tuwasiiane ASAP
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…