Nimeweka window7 kwenye machine yangu Dell optlex 760, lakini grahic quality yake imekuwa mbaya, je kuna drivers ninazotakiwa kuinstall? Na kama ni hivyo nazipataje? Naomba msaada wenu.
-Display drivers ndio zipo missing ukizidownload na ku-install display mashine itakuwa fresh.
-ingia kwenye link hapo chini then chagua version ya operating system yako (windows 7-32 bit au windows 7-64 bits) Drivers and Downloads | Dell [United States]
-Kujua version ya windows 7 unayotumia right click my computer na select properties.
-Ushauri wangu download drivers zote just to make sure kila hardware ya computer ipo fresh.😛oa