Graphic designer anahitajika

Graphic designer anahitajika

Bettylisa

Member
Joined
Jun 16, 2014
Posts
29
Reaction score
3
natafuta graphic desinger mkali ile
mbaya...awe tayari kuajiriwa chap
chap....nitumie portfolio kwenda:

rndege@gmail.com

From Reuben Ndege....Kwa mwenye vigezo ajaribu bahati yake.
 
Mshahara sifahamu..kama upo interested, mcheki yey mwenyewe kwa hiyo email, atakuwa na majibu sahihi zaidi...
 
Mkuu unatoa dili unafanyiwa unamkatia mtu chake anasepa, hii ya kufugwa mwezi mzima kunakosesha dili nyingi za maana!
 
Back
Top Bottom