Safi,Lakini umetoa vibaya tangazo lako.
Wewe sema kazi unazofanya ,ulipo na contacts,hii ya kutaja mpaka programme unazotumia,unajinyanganya ujuzi kwani watu hapa hayo pa-programme wanadoweload free on intenert na kufanya wenyewe,Na kwa taarifa juzi kuna mdau mmoja ametoa namna ya kupata serial number za programme kibao.Lakini mwanzo mzuri
mimi nitakupigia kwa ushauri wa jambo fulani.