Pale Chuo UDASA club wangeweza kuweka Coffee Shop ya nguvu, car wash, barber shop, massage parlour, Wi-Fi na Generator 24/7 watu wakawa wanaenda pale na kufanya kazi zao na ku-enjoy Ile Green. Pia, Ile shule ingefaa kuwa Demonstration school, English-medium pangefaa Sana.