Graduates with knowledge in IP/Networking wanahitajika

Wakuu, nimegundua kwanini wabongo tunapigwa gepu na wakenya kwenye soko la ajira. Hatuko serious.

Watu hatufuati maelekezo kabisa. Wengine wanatuma CV in doc format badala ya PDF.

Wengine wanatuma CV pamoja na ma vyeti ya secondary na vyuo.

Wengine hatujui hata namna ya Professional Communications through email.
Mtu ana attach tu CV yake, anatuma. Title ya email haweki, Greetings haweki, supporting explanations haweki....

Wakuu (hasa mliotoka shule muda si mrefu) tusipuuzie maelekezo katika kuomba kazi. Kitu kidogo tu unakua disqualified.
 
Umesema vyema mkuu, mwenye akili atayafanyia kazi kama alikosea. Mtu analalamika ameomba kazi mara nyingi bila kuitwa interview kumbe ameshindwa kuzingatia vitu vidogo lakini vya msingi.

Applications zinapokua nyingi kosa dogo linafanya mtu awe disqualified.
 
wakristo hatunaga ubaguzi mungekuwa nyie mungetangaziana kule ndio maana padre ameleta huku sisi hatuna ubaguzi asili yetu n upendo na upole
Nani padrii hapoo mnadanganywaaa kidogooo tuu mnaingiaa kingii wazima wazimaa bullshiiiiit
 
Mkuu ni company gani hiyo.? nataka nije nichukue tender ya kuwatengenezea website & email accounts na software nyinignezo...
 
Leo ndio Mstari mwekundu kumbe....
Duhh.... Bahati mbaya nina experience ya miaka 22+.
Nikisema nitume tu CV yangu, napita bila interview. Ngoja niwaachie madogo.
 
Mkuu ni company gani hiyo.? nataka nije nichukue tender ya kuwatengenezea website & email accounts na software nyinignezo...

Mkuu, nimechek na jamaa PM anasema kampuni inaitwa Hexatech T LTD. Emu ingia google hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom