Meja mstaafu
JF-Expert Member
- Jul 17, 2017
- 533
- 1,124
hahaha akikua ataacha.Kuna mjinga mmoja anatisha watu kuwa akimaliza chuo tu anatusua
Wale ni form 4 wa 2012.Hiyo 2013 walifeli mpaka serikali iliingilia na kuyarekebisha matokeo yao.
Habari zenu ndugu zangu, katika tafiti zangu zisizo rasmi, Nimegundua kizazi kinacholalamika kuhusu ajira , naongelea degree holders ni waliomaliza kidato cha NNE mwaka 2010 na kurudi chini. Na ukiangalia kwa kina kipindi hicho ufaulu wa kidato cha NNE ulikuwa ni chini ya asilimia 11. But kuanzia miaka ya 2013 BRN ilipoanzishwa kumekuwa na ufauru mkubwa sana
Wa kidato cha NNE na kuendelea, hivyo basi kaa ukijua wasomi wanaongezeka kwa kasi sana na hakuna haja ya kulalamika kwamba serikali haitoi ajira, maake hata ikitoa bado hazitoshi na kupata ni probability. Hivyo basi ndugu zanguni tuanze kutumia elimu zetu na utashi tulio nao katika kutumia fursa zinazotuzunguka kama kilimo, ujasiriamali ili kujiletea maendeleo.
AHSANTENI.
Ni kweli ndugu yangu, hata Mimi mwaka Jana nililima viazi lishe heka tano , na soko lake kubwa kwa huku kwetu huwa ni Kenya. Afu eti sijui kiongozi uchwara akapiga marufuku kuuza mazao nje ya nchi. Kiukweli inauma sana Ila ndio hivyo tusikate tamaa.Kujiajiri watu hawshindwi ila watoa maamuzi wanatuangusha sana, mfano mie nililima nafaka nakilenga soko la North Kenya hadi Sudan Kusini!! Watoa maamuzi wanapiga marufuku kusafirisha nafaka nje ya nchi na ndani soko bovu sana, aagh!! Inakera sana, wanatuangusha kwa kweli
Kama zipii kwa mfano. .Mkiwa vyuoni fanyeni kazi za masaa machache mpate ujuzi.
nakuunga mkonoelimu bado si rafiki kwa mtanzania jaman toka unaanza kozi mpaka unamaliza huongozwi kujitegemea au swali rahisi kuna maprof wangapi waliojiajiri au masters holder wenye uwezo wa kumiliki gari au nyumba ya milion thelathin elimu yetu ipo midomon na kwenye vitabu hii nikutokana na nchi kupuuza vipaji vya watu wenye uwezo mkubwa wa kiakili pia nakumbuka kauli*you can't solve the problem with the same level of thinking which created them*
Very sorryHuko kwenye kilimo na biashara ya mazao! Nimeshakula risasi nyingi kuliko alizopigwa Lisu... Loss niliyopata huko, hapa niko ICU. Maumivu niliyoyapata ni zaidi ya kupigwa risasi 28!