wiseman734
Senior Member
- Apr 29, 2018
- 137
- 210
Siwatishi nimewaeleza ukweli, mwaka 2011, tulipograduate tulipanga kufungua NGO's tujiajiri, tukaanza kujipa vyeo Sijui CEO, sijui Marketing Manager asee usipimeUsiwatishe sana bwanaa,.wengine tayari wakishavua lile joho ofisi ziko kibindoni zinawangojea....
Nakumbuka wakati nipo CoET tulikuwa tunadanganyana eti tukimaliza kazi zinatusubiri.Siwatishi nimewaeleza ukweli, mwaka 2011, tulipograduate tulipanga kufungua NGO's tujiajiri, tukaanza kujipa vyeo Sijui CEO, sijui Marketing Manager asee usipime
Mtoa uzi kaongea ukweli. Kitaa bora ufike ukiwa na low expectation ukaona mambo mswano, kuliko ufike na high expectation utajutaBe positive mkuu usitumie njia yako uliyo pitia kujudge njia za wengine kama wewe ume hustle kitaa ni wewe mkuu pambana na hali yako hahah
Wewe wadanganye wenzio tu, haina shida! Jiulize kuanzia 2015 serikali haiajiri, fikiria kuna graduate wangapi!? Jiulize juu ya kampuni ngapi zilizocollapseBe positive mkuu usitumie njia yako uliyo pitia kujudge njia za wengine kama wewe ume hustle kitaa ni wewe mkuu pambana na hali yako hahah
Hii ilichelewa kufika Tanzania. Kwa nchi kama Kenya na Nigeria ni kawaida sana.Mbona watu mkiambiwa ukweli mnawaka? Kuna watu wana degree ila ni walinzi na wanalipwa 100,000 per month nyie kitaa mnapachukulia poa sana eti
Wakuu nawasisitiza muwe positive jamani kila mtu ana njia yake ya kutoboa katika maisha.Wewe wadanganye wenzio tu, haina shida! Jiulize kuazia 2015 serikali haiajiri, fikiria kuna graduate wangapi!? Jiulize juu ya kampuni ngapi zilizocollapse
Sema wewe mkuu labda watakuelewa.Kufeli kwako baada ya ku graduate miaka hiyo sio guarantee ya kufeli kwa graduates wa mwaka 2018 katika maisha.
Watanzania wenzangu ni lazima tubadilike.
Mindset za umaskini tusipoziacha tutakuwa tunaenda shule kusoma badala ya kuelimika.
Kwanini unataka udanganywe!?Wakuu nawa sisitiza muwe positive jamani kila mtu ananjia yake ya kutoboa katika maisha...