Graduated....

Mpaka sasa sielewi elewi, naona maono au naota?

Ukisikia mpare kajivisha bomu ndio leo,mama wanaume vikwazo havituishi si kwenu tu hata sisi wanatutega hasa kama anaona huko mbeleni haka kajamaa kanaweza kuwa na fyucha,sasa akili ni kichwani lakini mimi na mzungu wapi na wapi...?
 
Gajungi na Gurta nitawadai hela sasa,nawaona hapa muda mrefu kweli mnasikiliza miziki yangu tu lakini hongera hamnipi....hii inakuwa kama vile crime againt humanity.....
 
Last edited by a moderator:
Asante sana mpenzi kwa ujumbe mzuri wa kuvutia,kupotea kweli nilipotea lakini sasa naona sababu ya kupotea umeiona,haikuwa kazi rahisi lakini nashukuru nimeimaliza kishujaa,location naweza kukupa lakini kwa sasa upo Europe au kulekule kwa siku zote?
 
hongera sana ila kaukraine hako ukalete tu but uwe commited manake usije ukamtelekeza kama yule aliyemtelekeza mjapani.
 
hongera sana ila kaukraine hako ukalete tu but uwe commited manake usije ukamtelekeza kama yule aliyemtelekeza mjapani.

Mwalimu, niliwahi kushauriwa huko nyuma kuwa ukitaka kujenga familia imara basi tafuta msichana Kutoka wilaya ya Rombo mkoa wa kilimanjaro,na hiki ndio kikawa kisa cha mimi kuchelewa kufunga ndoa maana nilikuwa bado sijampata mdada wa kutoka Rombo,lakini sasa hivi...................
 
unanikoshaje unaponiita mwl? yaani nafurah kama mama aliyezaa mtoto anapokabidhiwa na nesi kichnga chake mkononi mara ya kwanza. hilo la binti wa rombo lol naogopa kuchakachua uzi ngoja nikae pembeni.
 
Reactions: LD

Nashukuru mwalimu nakuita hivyo kwa sababu hiyo ndio profesheni yangu ya kwanza(for six years) kabla sijaanza mambo ya kusafiri na hakuna kazi ninayoipenda ama ualimu,ila nakuomba tu unieleze japo kwa uduchu kuhusu mrombo wala usiogope kuchakachua mada ndio kusaidiana huko ndugu yangu
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…