Graduated in 2011 Looking for a Job

Graduated in 2011 Looking for a Job

Una gpa ya ngapi?

Pass ya 2 na point nlimaliza nayo ila kazini ni noma kwa kipindi kifupi nimeshauri kampuni ipunguze unnecessary costs nao waliona hilo.
Am proud of it na utendaji wangu wa kazi upo juu
Mwaka mpya na mambo mapya wala sikunegotiate na boss kaona utendaji wangu wa kazi kaniongezea mshahara kwangu mie ilikuwa bonge la surprise.
 
Usiogope kaz-fanya job yeyote yenye kukuingzia kipato mbal na your profesional.

mfano mim nlipomalza chuo july 2013 nliona kuliko kukaa home empty nkaanza kufanya vibarua vya ufundi tiles kwa miez4 mpaka sasa ni fundi mzur na ninamake mpaka lak6 per month so usiogope kaz then ongea na vijana wa kitaa ndio wenye michngo ya pesa
 
thanks mkuu kwa ushauri huo!
 
Juzi juzi NMB wametangaza kazi hukuwa na taarifa?
kigezo chao kikubwa ni degree
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom