Andika kama graduates basi mkuu! Mnakosa saana discipline kwenye mambo madogo madogo mkiamini hayana madhara kwenu lakini niamini yaweza kuwa kuna CEO mkubwa ana capital na anahitaji watu makini wa kufanya nao kazi kwa maandishi yako tu unaweza ng'amua kitu na kukutafuta kwa hatua zaidi.
Ndio maana sisi tulioishia la saba B na form four art 1, tunawatoa nishai kimkwanja nyie graduates.
Brother thanks for your brilliant suggestion.I wrote believing people will focus to the concerned idea and not my poor language structure though you schooled me I appreciate thanks.
Brother money is just a spirit that needs to be controlled they can all get lost if you don't know how to play '
chase game',you can have them as much though you have never gone to school at all. Either you have them much or not just keep looking forward to get more and more!
Brother lets put all money stuffs aside and get focus to the concerned matter regardless your education level.
vijana wengi waliopata elimu za vyuo na amini wanaproject nyingi sana lakini dira ya nchi ndo huwa inaharibu ndoto zao!embu tusisubiri mh yule atangaze ajira bali tumuoneshe kwamba we can make our own for the national interest and what we need is his supportive motivation.
nilikuwa zanzibar last week kama international volunteer kwa week2 vijana wenzetu wako proud na taasisi za serikali zao kwa project wanazofanya nimeona bora niungane na wadau wenzangu labda inaweza kuleta kitu kwenye jamii yetu ya kitanzania.
nadhani cha msingi ni kutambuana kwa idadi kwa wenye nia ya dhati then tufanye kitu.
Tunaweza kuanza kwa uchache wetu tukaandaa project zetu kwa namna inayofaa naamini kwa talent tulizo nazo tunaweza kufika huko tunakotaka tufike
mwenye mawazo mbadala kuwa huru ni mawazo.
mungu awabariki.