Wakunyumba Official
Member
- Nov 10, 2015
- 40
- 10
Hivi hawa CBA walishaita for interview, maana Kimya mpaka leo na sijaskia from any fellow who applied for the post.
Hata wew waweza kuwa source.kama uko dar tembelelea ofisi zao
kama uko dar tembelelea ofisi zao
Aliomba post gan?Kuna jamaa alienda kwenye interview juzi sijui kama wamewaita tena
nαmí ní míσngσní mwα wαlíσhudhuríα híчσ íntєrvíєw, ѕαѕα ѕíjuí kαmα tαчαr wαѕhαítα wαtєulє wασ αu ní vpKuna jamaa alienda kwenye interview juzi sijui kama wamewaita tena
Kesho kuna interview ya pili broJamani vip kuhusu CBA bado kimya tu?