Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,625
- 1,619
Habari wasaka tonge wenzangu.
Ni wazi kuwa maisha yamekuwa magumu sana na pia ugumu wa ajira umepamba moto.
Nilimaliza chuo mwaka 2014, kwa ngazi ya shahada ya benki na fainansi, nilisumbuka sana kupata ajira, maana nilikuwa ndio tegemezi kwenye familia yetu (maana mzee alifariki miaka kazaa nyuma)
Baada ya kusota kwa kipindi hicho chote hadi leo, sasa nimeamua na kuzimia kufanya biashara ya kutembeza batiki na vikoi mtaa kwa mtaa, degree nimefungia kwenye kabati, aibu nimeweka mfukoni.
Rai yangu: ukiamua kujituma maisha ni rahisi, cha msingi ni kukubaliana na maisha, na kuendana nayo, tuache kung'ang'ania degree zetu, tujitume.
Ukiitaji mzigo, ni pm tufanye kazi