Graduate QS wanahitajika

Graduate QS wanahitajika

Jikombe

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2010
Posts
770
Reaction score
781
Wanahitajika graduate Qs's. Mawasiliano 0784 36 78 36

Thanks
 
mkuu fafanua umeniacha chalinze au labda kwa kua sio graduate, ila nna ndg zangu graduates, hy Qs's ndo ........
 
Toa maelezo ya kutosha watu wafahamu kuhusu hiyo QS's inahusika na nini, ofsi iko mahali gani, jinsi ya kutuma maombi, nafasi gani zinahitajika sio swala la kutoa namba ya simu bila kutoa maelezo ya kina kuhusiana na shughuli zinazopaswa kufanywa na hao graduates mnaowahitaji.
 
Nimetoa maelezo mafupi ili nipate walengwa. Wahusika wataelewa.

Samahani kama nitakukwaza
 
Nimetoa maelezo mafupi ili nipate walengwa. Wahusika wataelewa.

Samahani kama nitakukwaza

ubinafsi huo......walengwa ndo kina sisi na hatujaelewa sasa.....kama hutaki futa post yako tuache na grp yetu......maana humu ni kusaidiana sio kupeana mitihani kama unayoleta ww....labda mlengwa ni ndugu yangu nataka nimpe namba ya simu inakuwaje labda
 
Mimi hapa nitakupm mkuu, nitume CV ila no graduate wa 2012
 
du huyo mleta post ana majibu balaa, aya walengwa wamekuelewa.
 
ubinafsi huo......walengwa ndo kina sisi na hatujaelewa sasa.....kama hutaki futa post yako tuache na grp yetu......maana humu ni kusaidiana sio kupeana mitihani kama unayoleta ww....labda mlengwa ni ndugu yangu nataka nimpe namba ya simu inakuwaje labda

Quantity Surveyors(QS)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom