Samahani mdau...mail zina-fail kwenda kwenye hiyo address (career.abctz@bancabc.com) tajwa hapo juu, kama unaweza tusaidia ku-verify hiyo address mkuu! natanguliza shukrani zangu.
wote tungekuwa na moyo kama wako hakika tungefika mbali,ubarikiweMost of the time mails huwa ni feki, panda gari nenda kama uko mkoani tafuta mtu mfowadie kwene mail yake aprint akupelekee hata kama ni mimi waweza kuni-PM nikakusaidia, si ndio kusaidia kwenyewe huku? au tusaidiene sigara? au bangi? hapana, nitumie ntakusaidia kupeleka, nielekeze ofisi zao zilipo, ntaprint bure na nitakupelekea bure, kazi kwako but ukitegemea email utalosti, or else fungua website yao nenda kwene Icon ya contact then watumie, MUNGU awatangulie na kuwafanikisha ktk kila jambo jema kwenu
Kama uko serious na kazi tafuta pamba zako za ukweli kamfuko kauhakika executive piga tai, ibuka pale mtafute HR with high confidence.
Most of the time mails huwa ni feki, panda gari nenda kama uko mkoani tafuta mtu mfowadie kwene mail yake aprint akupelekee hata kama ni mimi waweza kuni-PM nikakusaidia, si ndio kusaidia kwenyewe huku? au tusaidiene sigara? au bangi? hapana, nitumie ntakusaidia kupeleka, nielekeze ofisi zao zilipo, ntaprint bure na nitakupelekea bure, kazi kwako but ukitegemea email utalosti, or else fungua website yao nenda kwene Icon ya contact then watumie, MUNGU awatangulie na kuwafanikisha ktk kila jambo jema kwenu
kaka does that mean tunatakiwa kutuma CV pamoja na vyeti.? au kwa wale ambao hatukubahatika kuliona hilo gazeti na hatuna namna ya kulipata...tafadhali tusaidie details za muhimu zilizowekwa.Mkuu ni careers.abctz@bankabc.com na wanataka top class graduate kama unaweza chk dailynews la sept19 page 9 so kwa wale wanaohisi hv got good grades u can apply try that email niliyotoa huyo jamaa hapo juu ameikosea try kufuata instruction wanazotoa they knw wat they are doing na wamesema successfuly candidate will be contacted by 30th november na application close ni sept 30
kaka ths tyme niko mwanza b'se of msiba wa bro, but umenishangaza sn, katika watu elf 50 uko pekeyako! Nimewachek washkaj watanipelekea, ila thnx alot, mungu akulipe wema! Naomba nichek kwenye mail: geofreymayombo@yahoo.com au 0717496166! Undugu ndo uwa unaanza ivyo!