Anatafutwa mhasibu kwenye kampuni moja ya usafirishaji wa anga. Ataanza kama intern kwa miezi mitatu na tukimuona anafaa atapewa kazi. +255 714588799. Usipige txt Whatsap na ntakupa maelekezo.. Nafasi ni moja tu Asante

hata kama una nia nzuri.....tangazo lako limekaa kama yale matangazo ya ''kampuni moja ya kimataifa'' toka ''Uingereza''....
Jaribu kutoa tangazo litakalopunguza kuhojiwa ''nia'' na ''malengo''