Grade "d"

dikai

Senior Member
Joined
May 24, 2015
Posts
125
Reaction score
7
vp mtoto mwenye wastan wa "D" matokeo ya la 7 anaenda sekondari
 
Nasikia watachaguliwa awamu ya pili.
Mdogo wangu kapata B Alhamdulillah.
 
vp mtoto mwenye wastan wa "D" matokeo ya la 7 anaenda sekondari

Mpaka E & F wote wanaenda usjali hii ndo tanzania na shule za kata zipo kwa ajili yao
 
Nilisikiaga msingi ni hadi form four hamna kuishia la saba au iikuwa masikio yangu? sasa hii kufeli na kupasi tena maana yake nini warudie?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…