Even myself nina utata na GPS. Nakumbuka nikiwa field chuoni tulikua tuntumia "garmin gps" especially ktk kujilocate (inatoa latitude/longitude, utms/altitude etc), bila kua na internet zaidi ya betri tu tulizoweka.
Sasa mbn hizi za kwenye simu zinataka internet? kwani haziwezi piga mzigo bila kuna na 3G?