GPS tracking system kwa Bajaj

Mkuu nashukuru sana, nimependa huduma japo wapo juu sana kwa bei, kuifunga GPS dola 180 gharama za fundi dola 10 na malipo kwa mwezi ni dola 15
Ndio hivyo bosi vitu vizuri hupatikana kwa gharama kubwa...naamini kupitia uzi huu utafanya uamuzi unaokupendeza zaidi, sisi wengine tumefanya kwa kadiri ya uwezo wetu. All the best
 
Habari, tunatoa huduma hiyo ya kufunga na kuuza pia Unit za aina zote kwajili ya magari makubwa, madogo, pikipiki na bajaji kwa mawasiliano tupigie 0774819712 or email: info@24security.co.tz
 
Mkuu ulinunua toka kampuni gani??
 
Habari, tunatoa huduma hiyo ya kufunga na kuuza pia Unit za aina zote kwajili ya magari makubwa, madogo, pikipiki na bajaji kwa mawasiliano tupigie 0774819712 or email: info@24security.co.tz
Mkuu za bajaji mnauzaje na huduma zenu zipoje. Ili kupata huduma ni lazima kulipia kwenu kila mwezi??
 
Mtafute mwenye namba 0714890018 bei zake ni nafuu sana
 
Hoi itasaidia hata kwa wenye boda, nisaidie jinsi ya kuagiza na zenye ubora maana wawezapata ila muda wote inataka intermet connection sasa kwa network yetu hapa nchini maeneoengi chenga
GPS tracking devices zote zinahitaji network, sio lazima internet but network ya simu ni lazima. Je ushapata huduma mkuu?? I will be there to guide you.
 
Mkuu za bajaji mnauzaje na huduma zenu zipoje. Ili kupata huduma ni lazima kulipia kwenu kila mwezi??
Tunachaj Rental fee au installations fee, tukikuchaj rental device inakuwa mali yetu tunakufungia buree kabisa ila kila mwezi unalipia TZS 8,500/=, ila ulitaka kununua tunachaji 128,000/= na kufunga ni 50,000/=
 
Niagize Nikununulie inauzwa 45,000 tu. Mi nimeifunga kwenye pikipiki yangu. Inapokea command za meseji za kawaida na kuiona moja kwa moja kwenye maps. Ni ndogo, reliable na water proof na inakaa na chaji muda mrefu sana.
 
Kama boda boda watafungiwa GPS wao ndio watakuwa wa kwanza kutoa siri kwa wahalifu,akili zao wanazijua wenyewe.
Ninachofahamu ukifunga GPS katika chombo chako cha usafiri siri ni kigezo namba moja.
 
Kama boda boda watafungiwa GPS wao ndio watakuwa wa kwanza kutoa siri kwa wahalifu,akili zao wanazijua wenyewe.
Ninachofahamu ukifunga GPS katika chombo chako cha usafiri siri ni kigezo nanba moja.
Hii haina ubishi mkuu
 
Kama boda boda watafungiwa GPS wao ndio watakuwa wa kwanza kutoa siri kwa wahalifu,akili zao wanazijua wenyewe.
Ninachofahamu ukifunga GPS katika chombo chako cha usafiri siri ni kigezo namba moja.
Yaahh..!! Ndo maana unapofunga unashauriwa hata dereva wako anayeiendesha asijue kuwa umeifunga
 
Mi nataka ni mtrack shemeji yenu nafkiri hii njia inafaa
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…