Natafuta sofware kwaajili ya ku flash simu kwa Gpg dragon box.
Software ninazo hitaji ni zile zilizo toka mwaka jana kuanzia miezi ya nane na za mwaka huu.
V3.29
V3.39
V3.44
v3.33
Nimejaribu kuzitafuta kupitia links tofauti tofauti lakini naona bado zinazengua.
Mwenye link yoyote ya uhakika ninayoweza kuzama na kupakua mzigo aniwekee hapa.
Maana nimefika mpaka gsmforums lakini bado naona inazengua kuzipata.