ommy clear JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 214 Reaction score 58 Jul 16, 2019 #1 Sorry ivi hua GPA kwa diploma wanakua wanachukuaga GPA ya semester ya mwisho tu au hua wanachukua GPA ya semester one plus semester two divide by two au hua inakuaje , au wanafanyaje kupata GPA kwa upande wa diploma? Ahsante
Sorry ivi hua GPA kwa diploma wanakua wanachukuaga GPA ya semester ya mwisho tu au hua wanachukua GPA ya semester one plus semester two divide by two au hua inakuaje , au wanafanyaje kupata GPA kwa upande wa diploma? Ahsante
muxa Senior Member Joined Jun 6, 2016 Posts 195 Reaction score 161 Jul 16, 2019 #2 wanachukua mwaka wa mwisho wanajumlisha GPA ya semester ya kwanza na ya pili then wanagawa kwa 2 unapata general
wanachukua mwaka wa mwisho wanajumlisha GPA ya semester ya kwanza na ya pili then wanagawa kwa 2 unapata general
ommy clear JF-Expert Member Joined May 26, 2018 Posts 214 Reaction score 58 Jul 16, 2019 Thread starter #3 Okay sawa mkuu ahsantee