Kwani ukisema ni wewe dogo mwenye hiyo 3.0 GPA kuna shida..
Serikalini hata ukiwa na GPA ya 1.2 unaajiriwa wao wanaangalia interview na connection basi wewe hautaweza kuwa mwalimu wa chuo tu ila hata kuwa mkurugenzi wa taasisi unakuwa vizuri tu.
Hayo ya GPA ni huko chuo huku mtaani ni connection tu kwa kwenda mbele..