GPA 3.4 inawezekana ku apply degree?

GPA 3.4 inawezekana ku apply degree?

Jackline Daniel

New Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
4
Reaction score
0
Jamani inakuwaje kama nilimaliza diploma 2015 na nikapata 3.4 Gpa je naweza kuapply chuo ikakubalii
 
Yaan usijaribu kabisa kuharibu hela yako . Maana sisi wa diploma ukiwa na GPA chini ya 3.5 system itakwambia no qualification found
 
Kwa hizi kozi za wachungaji kama theolojia haina tatizo, utapokelewa na kupiga kitabu kwa uzuri kabisa.
 
Ngoma 3.5 iyo 3.1 utakua umewàpa zawad tu.
Na hakuna wakumlaum coz taarifa walishatoa mapema.
 
Guideline inasema average GPA ya 3.5 na kama una less than that usiapply but unaweza try bcoz u never know jaribu tu
 
Kapotosha nini?
kapotosha amesema unaweza kuapply degree kwasababu tcu inataka wastan wa B+ au 3.5 so unaweza kucalculate mwenyewe kama wastan wako ni wa B+ sasa huyu mleta uzi amesema ana 3.4 anataka akacalclute GPA kwa kutumia B+
 
Sawa but alicho sema ni sahihi ni 3.5 au wale wa zaman wastani wa B+
 
kapotosha amesema unaweza kuapply degree kwasababu tcu inataka wastan wa B+ au 3.5 so unaweza kucalculate mwenyewe kama wastan wako ni wa B+ sasa huyu mleta uzi amesema ana 3.4 anataka akacalclute GPA kwa kutumia B+
Hakuna kitu kama hiki. Kama hajalipa zaka basi aka apply na pesa yake itahesabika kama fungu la kumi au matomolo. Bila 3.5 HATAPATA CHUO
 
Back
Top Bottom