Kubenea: MAGAZETI na WAHARIRI wake hawawezi kuoiongoza Serekali, si Serekali ya Tanzania au nyingine yeyote Duniani itakayokubali Ujinga Huo, aidha inaendeshwa Kidemokrasia au La. Demokrasia isiwe visingizio vya kuvuja Sheria.
Sheria ganii iliyovunjwa?Kubenea: MAGAZETI na WAHARIRI wake hawawezi kuoiongoza Serekali, si Serekali ya Tanzania au nyingine yeyote Duniani itakayokubali Ujinga Huo, aidha inaendeshwa Kidemokrasia au La. Demokrasia isiwe visingizio vya kuvuja Sheria.
Tue, Jul 31st, 2012 | By Teonas Aswile
The General Director of Mwana Halisi Newspaper, Said Kubenea has advised the government of Tanzania to demolish all laws which downtrodden the journalism professional in the country.
Briefing journalists in the press conference he conducted today afternoon, Kubenea said for a long time the government has been using repressive laws which become barriers to the journalists who want to play well their role of informing and representing the public.
As it is directed by the Newspaper Act of 1976, the government is not obligated to tell you the reason for censorship a letter from the registrar informed me that I have been stopped to publish my newspaper and I have to read Government Gazette No. 258 of 27[SUP]Th[/SUP]July, 2012.
Kubenea said its surprising to see the government does not work on the Media Stakeholders proposal which wanted Tanzaniato have the law supporting freedom of information.
The government has taken from us and all citizens the freedom of getting information from effective medium. explained Said Kubenea looking disappointed.
Also Kubenea said the action aims to kill the newspaper workers and all people who depend on Mwana Halisi to get their daily bread through publishing and selling it in streets.
The General Director asked the government to reverse the decision announced and allow the weekly newspaper to continue with publications.
Mwana Halisi newspaper published by Hali Halisi Publishers Ltd was banned yesterday by the Registrar of Tanzania accused of sedition.
Kubenea: MAGAZETI na WAHARIRI wake hawawezi kuoiongoza Serekali, si Serekali ya Tanzania au nyingine yeyote Duniani itakayokubali Ujinga Huo, aidha inaendeshwa Kidemokrasia au La. Demokrasia isiwe visingizio vya kuvuja Sheria.
hivi ni ujinga gani unaozungumzia ndugu yangu? Hivi wewe serikali kwako ni malaika? Haifanyi makosa? Ikisemwa tu basi ni ujinga. Mh kikwete alisema serikali haikuhusika na utekaji na utesaji wa dr. Ulimboka, kama mtu (wa serikali) alifanya hivyo hakumtuma. Kwa hivyo kuna watumishi wa serikali wanaweza kufanya kitu kibaya kwa utashi wao wenyewe bila kutumwa na viongozi wa serikali. Bahati mbaya anayetuhumiwa ni mtumishi wa serikali tena wa usalama. Si ahojiwe, uchunguzi ufanyike na kama ana hatia ashitakiwe. Ya nini kumlinda? Kama mwanahalisi limeandika uchochezi si lishitakiewe, mahakama huru iamue! Sioni ujinga lililoandika mwanahalisi labda tu kama wewe uko kutetea utawala hata kama umefanya makosa.
Hakuna dhuluma wala uongo ambao ulishawahi kushindana na ukweli ukashinda, tanzania imejaa watawala katili kama nduli id amin lakini pamoja na ukatili wao hata wao pia wameshindwa. Mtanzania usikate tamaa. Freedom is coming tomorrow
Mkuu hakuna anaezuiwa kuandika wala kuzungumza, Mmepewa Uhuru mpana ambao hata juzi tu kwa Awamu ya Mkapa hamkuwa nao. Kwahiyo kuna Haja na Ulazima kuutumia vizuri na kwa Busara. Kuwa Journalist haimaanishi your Everything na unaweza kuandika chochote, Wakati wowote na Uingilie kazi ambazo si zako na zaidi ya hayo Ueneze Uchochezi na chuki na Utazamwe kama yai tete, Ati kwa Vile umechaguwa kuwa Journalist (Hilo ni tatizo binafsi na inafaa ulitafutie dawa). Kwa hiyo kutokana na Mfumo ulivyo sasa hivi Utaendelea na mawazo yako ya kuwa best huku ukiumia kuongozwa na Rubbish and Shits Inaelekea hiki ndicho kinacho wasibu Baadhi ya Wanahabari, hivyo mnaamua kutangaza vita ya chini kwa chini, msipoteze muda wenu kwenye hilo hamuwezi kufanikiwa.
[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TD="class: sqtdq, bgcolor: #EDF1F7, colspan: 2"]My Friend Journalism can never be silent: that is its greatest virtue and its greatest fault. It must speak, and speak immediately, while the echoes of wonder, the claims of triumph and the signs of horror are still in the air.
Generally speaking, the best people nowadays go into journalism, the second best into business, the rubbish and shits into politics.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
Sheria ganii iliyovunjwa?
Lipot gan iliyotolewa na serikali juu ya hili na mengineyo?
bila kuulizia ni mmoja wa wanaofaidika na mfumo mbovu uliopo!
Hivi ni ujinga gani unaozungumzia ndugu yangu? Hivi wewe serikali kwako ni malaika? Haifanyi makosa? Ikisemwa tu basi ni ujinga. Mh Kikwete alisema serikali haikuhusika na utekaji na utesaji wa DR. Ulimboka, kama mtu (wa serikali) alifanya hivyo hakumtuma. Kwa hivyo kuna watumishi wa serikali wanaweza kufanya kitu kibaya kwa utashi wao wenyewe bila kutumwa na viongozi wa serikali. Bahati mbaya anayetuhumiwa ni mtumishi wa serikali tena wa usalama. Si ahojiwe, uchunguzi ufanyike na kama ana hatia ashitakiwe. Ya nini kumlinda? Kama Mwanahalisi limeandika uchochezi si lishitakiewe, mahakama huru iamue! Sioni ujinga lililoandika Mwanahalisi labda tu kama wewe uko kutetea utawala hata kama umefanya makosa.
Mkuu hakuna anaezuiwa kuandika wala kuzungumza, Mmepewa Uhuru mpana ambao hata juzi tu kwa Awamu ya Mkapa hamkuwa nao. Kwahiyo kuna Haja na Ulazima kuutumia vizuri na kwa Busara. Kuwa Journalist haimaanishi your Everything na unaweza kuandika chochote, Wakati wowote na Uingilie kazi ambazo si zako na zaidi ya hayo Ueneze Uchochezi na chuki na Utazamwe kama yai tete, Ati kwa Vile umechaguwa kuwa Journalist (Hilo ni tatizo binafsi na inafaa ulitafutie dawa). Kwa hiyo kutokana na Mfumo ulivyo sasa hivi Utaendelea na mawazo yako ya kuwa best huku ukiumia kuongozwa na Rubbish and Shits Inaelekea hiki ndicho kinacho wasibu Baadhi ya Wanahabari, hivyo mnaamua kutangaza vita ya chini kwa chini, msipoteze muda wenu kwenye hilo hamuwezi kufanikiwa.
Mwanahalisi haliwezi kuwa POLISI, JUDGE and JURY Litabakia kuwa Gazeti la mitaani!!