Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,761
- 107,210
Una maanisha nini?Kwa hili nipo Upande wa Zitto!
Kujenga Reli kuipeleka Rwanda kwa gharama kubwa wakati Rwanda kwny Biashara Hii ya usafirishaji anazo multiple source anaweza kusafirisha kupitia Kenya na Uganda hivyo anakuwa na Option na competition inakuwa kubwa kwa upande wetu
Ingefaa sana kuipeleka Kigoma ili kupata Uhakika wa Mteja ambao ni Burundi na. Mashariki ya Congo ambao hawana Mbadala wa usafirishaji
Yaan unaacha kufungua Duka Eneo ambalo huna mshindan unaenda kwny ushindan kwa kuwa tu Mmoja wa wateja ni rafiki zako
Kwa hili nipo Upande wa Zitto!

Soma comment unazoelewa, usizoelewa achana nazo Muda wako ni Muhuni sanaUna maanisha nini?
Yaaa!Hivi reli inaweza kufika Rwanda bila kupitia Kigoma!!!!?
Kwa hili nipo Upande wa Zitto!
Kujenga Reli kuipeleka Rwanda kwa gharama kubwa wakati Rwanda kwny Biashara Hii ya usafirishaji anazo multiple source anaweza kusafirisha kupitia Kenya na Uganda hivyo anakuwa na Option na competition inakuwa kubwa kwa upande wetu
Ingefaa sana kuipeleka Kigoma ili kupata Uhakika wa Mteja ambao ni Burundi na. Mashariki ya Congo ambao hawana Mbadala wa usafirishaji
Yaan unaacha kufungua Duka Eneo ambalo huna mshindan unaenda kwny ushindan kwa kuwa tu Mmoja wa wateja ni rafiki zako
Acha kupotosha mkuu SGR inajengwa kuliko na M tandao wa reli tayari. Hakuna Reli Chato, Biharamlo wala Ngara. Awamu ya kwanza inaishia Mwanza.Yaaa!
Hii ya sasa ya Mchapakazi Magufuli haifiki Kigoma awamu ya kwanza inakatia Tabora inapitia 'Nyumbani ' then huko kwa Kagame
Dah,alafu nilijua ww ni Bonge la GENIUS mwanangu, kumbe fala!!?Aiseh.Kwa hili nipo Upande wa Zitto!
Kujenga Reli kuipeleka Rwanda kwa gharama kubwa wakati Rwanda kwny Biashara Hii ya usafirishaji anazo multiple source anaweza kusafirisha kupitia Kenya na Uganda hivyo anakuwa na Option na competition inakuwa kubwa kwa upande wetu
Ingefaa sana kuipeleka Kigoma ili kupata Uhakika wa Mteja ambao ni Burundi na. Mashariki ya Congo ambao hawana Mbadala wa usafirishaji
Yaan unaacha kufungua Duka Eneo ambalo huna mshindan unaenda kwny ushindan kwa kuwa tu Mmoja wa wateja ni rafiki zako
Ushauri wa Zitto unahusikaje kwenye masuala ya ujenzi wa reli ya Kenya.
Dah,alafu nilijua ww ni Bonge la GENIUS mwanangu, kumbe fala!!?Aiseh.
AkiliSasa ukijua Mie ni genius au fala napungukiwa na nini?
Tunajua tukuweke wapi sasa upo rasmi kundi la mapunga maana unajitia sintofahamu ya kuwa Kagame kashatangaza anataka reli ipi!Sasa ukijua Mie ni genius au fala napungukiwa na nini?
Kwa hili nipo Upande wa Zitto!
Kujenga Reli kuipeleka Rwanda kwa gharama kubwa wakati Rwanda kwny Biashara Hii ya usafirishaji anazo multiple source anaweza kusafirisha kupitia Kenya na Uganda hivyo anakuwa na Option na competition inakuwa kubwa kwa upande wetu
Ingefaa sana kuipeleka Kigoma ili kupata Uhakika wa Mteja ambao ni Burundi na. Mashariki ya Congo ambao hawana Mbadala wa usafirishaji
Yaan unaacha kufungua Duka Eneo ambalo huna mshindan unaenda kwny ushindan kwa kuwa tu Mmoja wa wateja ni rafiki zako
Usipende Kupinga kwa kujiamini na kile unacho kiona na kukiwaza kichwani mwako pekee
Reli inaenda kupiga kona Tabora
pia kutakuwa na Awamu ya Tabora Kigoma
Kaliua Mpanda
kwahiyo Reli itafika Kigoma
Tunajua tukuweke wapi sasa upo rasmi kundi la mapunga maana unajitia sintofahamu ya kuwa Kagame kashatangaza anataka reli ipi!
Akili
Acha kupotosha mkuu SGR inajengwa kuliko na M tandao wa reli tayari. Hakuna Reli Chato, Biharamlo wala Ngara. Awamu ya kwanza inaishia Mwanza.
Ushauri wa Zitto unahusikaje kwenye masuala ya ujenzi wa reli ya Kenya.
Bookmark my comment then after miaka mitano mtanisadiki kuwa Hii hyped up SGR ni hadi 2022.Hii reli ya Tz itajengwa kwanzia 2022, kwa sasa ni lots of side shows.
Dalili ya msongo wa mawazo ama msonjo na kihoro [emoji23] [emoji115]Hii reli ya Tz itajengwa kwanzia 2022, kwa sasa ni lots of side shows.
Hamna lolote jipya ila kuwachezea wadanganyika kamari huku ukishabikia kijinga na kuwapotosha wenzako .Dalili ya msongo wa mawazo ama msonjo na kihoro [emoji23] [emoji115]
Usikose kuangalia major announcement toka Masaka where Magufuli is on official visit to Uganda.
Mbona ujenzi inaendelea mkuuBookmark my comment then after miaka mitano mtanisadiki kuwa Hii hyped up SGR ni hadi 2022.
Vipi ile mitungi ya chang'aa iliyogharimu $3.4B inaendeleaje?Hamna lolote jipya ila kuwachezea wadanganyika kamari huku ukishabikia kijinga na kuwapotosha wenzako .