nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,369
Mtoto amepewa u governor wa siku moja baada ya kurekodiwa na wazazi akilia kwa kutokuwa governor kwa sababu ni too small(4yrs) .na record kurushwa You tube na kuvutia watu wengi. Governor ameona akapishe kajamaa kaongoze jimbo walahu siku moja. Clip imekuwa awarded $10,000 kama best clip. Its funny, lets share
http://www.youtube.com/watch?v=Et94S8HQl8w&feature=player_detailpage
Wadau naona clip haina picha sorry mnaweza kucheki yahoo.
http://www.youtube.com/watch?v=Et94S8HQl8w&feature=player_detailpage
Wadau naona clip haina picha sorry mnaweza kucheki yahoo.