D Dr kwalu Member Joined Jul 23, 2017 Posts 25 Reaction score 9 Aug 14, 2019 #1 Napenda kuuliza 'medical laboratory technologist' anaweza kuajiriwa kufanya kazi kwa Mkemia mkuu wa Serikali,, na kama anaweza,, majukumu yake, yakoje huko?
Napenda kuuliza 'medical laboratory technologist' anaweza kuajiriwa kufanya kazi kwa Mkemia mkuu wa Serikali,, na kama anaweza,, majukumu yake, yakoje huko?
mhuri25 JF-Expert Member Joined Sep 3, 2016 Posts 3,267 Reaction score 4,476 Aug 15, 2019 #2 Ndio Wanaajiriwa ila upande wa majukum nahisi ni yaleyale katika kucollect samples na kuzirun mkuu!!