Kampeni zilipoanza tu thamani ya TShs ilianza kuporomoka dhidi ya USD na Euro haijarudi tena.Hii inaashiria nini?Governor yupo kwenye kampeni au ni nini?Ameshinda kuishauri serikali?Kuagiza vitu nje imekua ni garama sana,unahitaji TShs nyingi kupata forex chache sana.Au upungufu wa forex ni kutokana na uagizajia wa mabango ya kampeni kutoka nje yakamaliza USD na kuzifanya zipande?Sasa je kwa nini asijiuzulu kwa kushindwa kazi?