it's so strange but still it's not the concrete evidence of his presence.
naamini uwepo wa MUNGU lakini si kwa picha kama hizi, eti uwe ndiyo ushahidi
.
(1)inawezekana kuwa hao viumbe wawili wanauelewano wa karbu na kufikia kiasi hicho(not real sure about this one)
lakini pia
(2)kuna uwezekano kuwa huyo kiumbe wa juu alimdondokea mgongoni huyo ndege kwa bahati mbaya kutokana na utofauti wa position zao(mmoja juu ya mti mwingine chini)
sasa wakati wa kujiokoa huyo ndege anakuwa anakimbia hovyo.
na huyo wa juu baada ya kuona ndege anakimbia hovyo basi anajishikilia vizuri ili asitupwe akaja kuumia
ndio ikaonekana kama hivyo
. made in mby city.