Mechanic 97
JF-Expert Member
- Feb 6, 2021
- 1,041
- 1,463
Wakuu ni hivi baada yakuona miaka flani niliwahi soma engineering drawing Nikaona si vibaya nikanunua application ya CAD iitwayo Gnacad lakini wakuu tangu tu nilivyo nunua purchase Ili cancelled automatically na wakasema pesa iliyo lipwa itakuwa refunded na status kwenye Google play status imeandikwa refunded lakini pesa sijapokea nime jaribu kufungua messenger Yao hola.
Ni mecomment kwenye post yao wanaonesha kunisaidia lakini hola. Sasa sielewi nifanyaje nipate pesa zangu. Ila wakuu Dunia ngumu sana inajitahidi ufanye hivi hola daah
Ni mecomment kwenye post yao wanaonesha kunisaidia lakini hola. Sasa sielewi nifanyaje nipate pesa zangu. Ila wakuu Dunia ngumu sana inajitahidi ufanye hivi hola daah