kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,424
- 16,210
Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teeeeeeeeeh
Mkuu ni kitu ambacho hakiwezekani,
Hiyo Nokia asha 311 inatumia operating system ya Nokia asha series 40 ambapo applications zake unazipakua kwenye Nokia store, Google play ni store ya simu zinazotumia operating system ya android tu, kwa hiyo haiingiliani na hiyo simu yako hata kidogo
Sijui umenielewa au ndo nimekuchanganya mazima!!
Nokia Store
Unatafuta application gani mkuu?
mkuu mimi sio mtaalamu lakini huwa naangalia hiyo apk (google play)asante
Sawa mkuu.. yaani inakua hivi google play inafanya kazi sawa na Nokia store, hizi program zina tumika kutafuta application nyingine kwa ajili ya simu yako e.g. Ukitaka whatsup unaingia google play au Nokia store kuitafuta. Google play inakuja na simu za android kama smartphone za Samsung, hivyo hivyo kwa Nokia Store kwa ajili ya Nokia. Kwa hiyo huwezi kupata google play kwa Nokia nyingi mpaka zile zenye android. Hivyo tumia Nokia store kwa ajili ya kupata vi program unavyotaka...
Kwa maelezo mafupi, google play ya smartphone ni ovi store ya simu za symbian like hiyo asha 311 na sio nokia store.