Google play services won't run unless you update Google play services

Keyboard_Warrior

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2015
Posts
6,101
Reaction score
10,463
Wakuu,simu yangu inaniletea huo ujumbe "Google play services won't run unless you update Google play services"
Nimedownload na kuinstall latest version ya Google play services, lakini bado naletewa huo ujumbe...
Tatizo ni nini..?
Simu ninayotumia ni Vodafone (VFD 301)
 

Attachments

  • Screenshot_20190201-211213.png
    28.5 KB · Views: 44
Huenda storage ya simu yako imejaa, kama ni hivyo futa visivyo na umuhimu kisha update upya.
 
Baada ya ku-update zima halafu iwashe simu yako.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…