Google pixel camera ni fire aisee

Mkuu hiyo camera kama camera au ni app inapatikana kwenye simu.?!
Au ni aina simu!?
Cc Chief-Mkwawa
Iyo ni camera kawaida kwa simu za google pixel ila kwa nyie wengine mnaweza kudonwload kama program ila kwetu watu wa pixel ni kawaida hatuhitaji kuroot simu ipo automatically yangu nilichukua 330k iyo pixel 3a zipo kibao kila kona
 
Ipo playstore? Nitaipataje naomba link
 
Hio ni simu kiongozi kampuni ya simu ya google ina simu zao zinaitwa google pixel ni nzuri sana upande wa kamera na pia ni ghali sana kwa mpya
kaka kwa mpya sio parefu sana kulinganisha na ubora angalia iyo pixel 6 na iphone 13 au redmi 11 ultra utaona bado wako chini kwa bei mi binafsi ni mzee wa pixel napata picha vile napenda update kila mda uwakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…