donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
nikaconfigure kwa kutumia the same gmail acc ambayo ndio still naitumia kwa sasa. aisee, within no time after syncing. nikashangaa kuna contacta 1000+, kuchek fresh imeleta hadi contacts zote zilizokua kwenye cm ya marehemu bro na watu wote ambao nilishawah kuwatumia email kwa gmail acc yangu. nlipochoka zaidi ni pale iliposync hadi images ambazo niliziupload kwenye blogs zangu kadhaa miaka hiyo mambo ya blogspot ndio yameingia. kwa haya, nimewavulia kofia google!
Yeah, Love Google!
Yeah, mwenyewe inanisave sana haswa kwenye Google chrome, nikiweka windows mpya, History, Bookmarks, Themes, Addons na Settings zote zinajirudisha kama kawa... Love Google!
Yeah, mwenyewe inanisave sana haswa kwenye Google chrome, nikiweka windows mpya, History, Bookmarks, Themes, Addons na Settings zote zinajirudisha kama kawa... Love Google!
Yeah, G+ inazingua, wanaforce mno, mpaka yule demu emma blackery aliwatungia nyimbo!Only problem is them recently tryna shove G+ in our asses! My G+ acc was suspended for some reasons and as a result i can't do sh1t on YouTube until its fixed!! Hail Google, 2 hell with G+
Ninaipendea hapo chrome. Niki login tu inarudisha settings. Plugins kila kitu.
Iko poa
sorry, i meant extensions...
- Ila kwa sasa chrome hawa_sync add_on
sijakupata kakakofia yako ni rangi gani mkuu!?