Google Map: Nigga House = White House

Google Map: Nigga House = White House

Barbarosa

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
22,584
Reaction score
27,837
Kwenye Google Map ukitafuta neno 'Nigga House' inakuelekeza moja kwa moja Ikulu ya Marekani au White House kama ijulikanavyo! Hahahah Wazungu, Bhanaa!

Hii inatufundisha nini?

Mtajaribu kujibadilisha mnavyotaka, Mtaongea Kiingereza cha kubana pua mnavyotaka, Mtaponda TBC, ITV Star TV na kupendelea CNN, BBC & Co. mnavyotaka, Mtatukana Waarabu na Waislamu mnavyotaka, Mtatetea Wazungu wa Isareli wayahudi na kutukana Wapalestina mnavyotaka lakini mwisho wa siku kwa Mzungu sisi Waafrika weusi ni Niga tu!

nigahouse.jpg

obam.jpg
 
Google has apologised for offence caused by vandalism of its Maps tools that meant that users searching for racist terms were sent White House. In what appeared to be a result of Google bombing - where vandals flood a certain keyword with links to a place, meaning that the two will become associated in Google's results - users forced searches for "nigger house" and "nigger king" to redirect to the White House.

The company said that it apologised for "any offence this may have caused". Its teams are working to fix the problem, it said, and Google itself does not appear to have had any role in adding the racist searches.

Google's mapping tools pick through the huge amounts of search data that it has to help ensure that results are up to date. But by intentionally confusing that system, users can add their own results.

Users can also set up businesses and then change the address so that they will show up wherever they want. It's unclear whether either of those workarounds were used to plant the White House results, or whether it was done using other means.

The racist results were just the latest in a run of pranks and vandalism that have hit Google's user generated mapping system. Earlier this month, the company had to shut it off its Map Maker system , which allowed users to edit its database, after someone used it to draw a giant urinating Android.

www.picknbuy24.com
 
Wameomba msamaha na siyo wao google bali ni contributers mbalimbali wanao fanya hayo makitu kupitia google map maker

So wamei diss able hyo app maker for a while

Na siyo tu hivyo last week ilikuwa ishu ya picha ya kirobot cha android kikikojolea apple, ilionekana huko indonesia kwenye google map ya eneo fulan hali iliyoonekana kama tusi toka kwa google kwenda kwa apple inc

But wameomba msamaha kwa yote na kuisimamisha hyo map maker for a while
 
Kama siyo tusi basi nini?
Kwa hiyo ni sawa kumuita baba yako Niga?

Sio heshima kwa Baba yangu mana ni mtu special dunia kwangu ila wengine wote ma nigger tu pia hata mimi nigger tu, kwani inapunguza nini? Nigger si kitu chenye asili nyeusi? Sasa sisi africa asili yetu nyueupe? Hao weusi waliopo marekani wanaitana ma nigger ila ukiitwa na mweupe linakuwa tusi si upuuzi huu, hat wewr nigger tu
 
Kwani baba yako siyo mweusi? au wewe ni mchotara labda, kwa maana kama Niga siyo tusi na neno la Mtu mweusi na baba yako pia ni mweusi basi unaweza pia ukamwita Niga asubuhi ukamwamkia shikamoo baba niga!
 
Wameomba msamaha na siyo wao google bali ni contributers mbalimbali wanao fanya hayo makitu kupitia google map maker

So wamei diss able hyo app maker for a while

Na siyo tu hivyo last week ilikuwa ishu ya picha ya kirobot cha android kikikojolea apple, ilionekana huko indonesia kwenye google map ya eneo fulan hali iliyoonekana kama tusi toka kwa google kwenda kwa apple inc

But wameomba msamaha kwa yote na kuisimamisha hyo map maker for a while

hahahah! Na wewe unaaamini huo ----- kwamba kampuni yenye teknologia na watu makini kama goolge wanaweza kufanya kosa kama hilo kwa mtu kama Raisi wa Marekani bila ya wao kujua?
 
Kwani baba yako siyo mweusi? au wewe ni mchotara labda, kwa maana kama Niga siyo tusi na neno la Mtu mweusi na baba yako pia ni mweusi basi unaweza pia ukamwita Niga asubuhi ukamwamkia shikamoo baba niga!

Yani unachoandika unaonesha kichwani kwako kama hakuna ubongo au shule yako haijakusaidia mtu aliyesoma hata STD 7 angenielewa ninachongea pole sana tatizo una shinda madrasa sana
 
Yani unachoandika unaonesha kichwani kwako kama hakuna ubongo au shule yako haijakusaidia mtu aliyesoma hata STD 7 angenielewa ninachongea pole sana tatizo una shinda madrasa sana

Sawa hamna shida lkn sihitaji kusoma kujua kwamba niga ni neno la dharau na kejeli kwa Mtu mweusi na ndio maana Dunia nzima inaongelea hii ishu kama wangeandika Afrika House badala ya Niga house sidhani kama ingekua ishu kihivyo!
 
hahahah! Na wewe unaaamini huo ----- kwamba kampuni yenye teknologia na watu makini kama goolge wanaweza kufanya kosa kama hilo kwa mtu kama Raisi wa Marekani bila ya wao kujua?

Ushawah ku add chochote ktk google map?

Nina nyumba kadhaa na mitaa kadhaa ya Hapa Tz nimeiname kupitia google map maker

So najua kuwa inawezekana
 
Ushawah ku add chochote ktk google map?
Nina nyumba kadhaa na mitaa kadhaa ya Hapa Tz nimeiname kupitia google map maker
So najua kuwa inawezekana
Jibu sahihi kwa Barbarosa labda nikushauri Mkuu ukishakuwa member wa Google Map Maker unaweza kuchangia chochote katika vingi kwani anwani yako ina uhakika, Google Map, YouTube nk
ukiiName Ikulu ya White House kwa jina la 'Manzese' itakubali tu ila mpaka wenzako km 6 waje wa-approve ndio itakubalika na Google map watakuletea majibu ya shukrani
  • Ni kweli Mawazo yangu hata mm nimeisahihisha mitaa ya hapa Dodoma kuna mwenzangu aliikosea na walikubaliana nami Google wakanijibu
  • isipokuwa kuna Hotel za hapa Dodoma nilizipa majina mmoja wa wachangiaji akaikataa kutoka India kwamba huu mji hauna hadhi ya Hotel hiyo. kwa hiyo bado sijapeleka picha yake
Ni kweli kabisa Google wanapokea kila kitu na hata vya uongo ila akitokea mtu wanasahihisha
km utaikosa Google Map Maker ingia kwenye search engine ya google
 
we mtoto wa masikini jaribu kuelewa...Neno NIGGA ni tusi kabisaa na hiyo inafahamika dunuani kote so acha kubisha ilimradi uonekane cuz reality hubaki palepale no matter what.
 
Back
Top Bottom