simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,694
- 9,580
Kikwete aliwaahd wakaz wa kigoma kua kigoma ataigeuza kuwa dubai,vp anaondoka madarakani ametekeleza hilo?
Zile billions za safari zingetosha kusambaza maji maeneo yote ya Kigoma na Lukwa. Hatuna vipaumbele.
mmhhh, maajabu ya ccm kuongea uongon ni jadi yao,sasa hapa kazi tuu manake nini?
Kuna mji Tanzania usio na tatizo la maji. Takwimu zinazotolewa na wanasiasa kuhusu asilimia ya watu wanaopata maji safi mjini na vijijini unishangaza sana.sijui wanzitoa wapi?Pamoja na ziwa Tanganyika kuwepo jirani na mji wa Kigoma tatizo la maji mjini sugu.
Pamoja na ziwa Tanganyika kuwepo jirani na mji wa Kigoma tatizo la maji mjini sugu.
Kikwete aliwaahd wakaz wa kigoma kua kigoma ataigeuza kuwa dubai,vp anaondoka madarakani ametekeleza hilo?