Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,285
- 2,595
Wote wana sehemu ya lawama.Mamlaka za Kwao ndio zina makosa hapo kwa kutoweka signs za Kuonesha daraja Ni Bovu, Google hahusiki mkuu, Afu google pia most of data mle za Kama road Closure au Congestion tuna update sisi sisi Users
Google map haijaua ila wahusika kutokuwa makini, daraja mbele halipo lazima kulikuwa na alama za barabaraniππ’π’πππ π ππ£ ππ ππ¨π πͺππ§π¨ πͺππ§ππ§π¨
View attachment 3162343
Watu watatu wamepoteza maisha baada ya gari walilokuwa wamepanda kupata Ajali, walipokatiza katika Eneo ambalo barabara haijakamilika huko nchini India.
Google maps imewadanganya watu watatu na kupelekea kufa baada ya gari walilokuwa wamepanda kupotea njia na kuanguka kwenye Eneo ambalo daraja halijakamilika kwenye mto wa Ramganga nchini India.
View attachment 3162344
Daraja Hilo lilikua limevunjika kipindi Cha mafuriko. Miezi kadhaa iliyopita, wanaume hao watatu walikua wanasafiri usiku kuelekea mjini ambapo hawakuona kama Daraja limekatika maana kwenye Google maps imeonyesha daraja Liko vyema ndipo walipoanguka kwenye mto na kupelekea kufa.
View attachment 3162345
Familia za waathilika, zinataka mamlaka husika kuwajibika maana hawakuweka Alama yoyote kuhashiria Kuna tatizo na uchunguzi uliofanywa unaonyesha wahusika walitumia Google maps wakati wanapata Ajali.
Nani wa kuwajibika Google maps au Serikali ?π₯±
#bongotech255
Safi, nimeipenda hiiSiku hizi naona wanaweka tahadhari,Juzi kati baada ya jengo la kariakoo kudondoka nilikua nataka niende mitaa hiyo nikacheki googlemaps ikanipa warning kuhusu hiyo ajali iliyotokea
View attachment 3163696
Safi, nimeipenda hii
Google map imewauwaje sasa. Bora hata useme serikali ya india kwa kushindwa kuifunga barabara inayojua daraja linevunjika. Pia unaweza mlaumu dreva Kawa uwa wenzake kwa kukosa umakiniππ’π’πππ π ππ£ ππ ππ¨π πͺππ§π¨ πͺππ§ππ§π¨