Google introduced chromecast

Google introduced chromecast

Mndengereko

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
7,306
Reaction score
3,413
hii ni device ambayo google wameizindua leo officially ambayo inafanya kazi ya kuplay contenet zako za kwenye laptop,tablet au simu unaziona direct kwenye t.v(flatscreen) yako kwa kupitia google chromecast unayoichomeka kwenye hdmi port ya t.v yako halafu unaunganisha na wi-fi kufanya connection ya device hizo bili,unaweza kustream video online,musicn.k,
kwa sasa hivi google chromecast inafanya kazi kwenye device za android na ios tu na hawana mpango wa kupeleka katika device zinazotumia window o blackbery os kwa sasa
google chrome cast 1 inauzwa us dollar 35 na zimeanza kuuzwa marekani nchi nyingine zitafuata

dah naona wazungu wanazidi kuwaza tu jinsi gani y akutumalizia visenti vyetu vilivyobai mfukkoni!!

th

th

reference:Google Chromecast - Digital Media Receivers - CNET Reviews
 
Sasa hiyo Google Chromecast ni app au ni device?
 
hv vitu vipo vingi sku hz tatizo internet speed. sjajua kama wachina hawajaleta vya tv za zamani ambazo ni za resolution ndogo.
 
Hiki kifaa kina Idea ya Kufanana na kifaa kimoja hv waliwah kuleta vodacom... Vodacom Web Box... Japo kile kilikua na kaz nyng Kama kuperuz........... Na kilikua nasehem ya simcard pia kilikua kikubwa na kilikua port za ac cable
 
ever heard of Nokia wireless music receiver?
 
Hiki kifaa kina Idea ya Kufanana na kifaa kimoja hv waliwah kuleta vodacom... Vodacom Web Box... Japo kile kilikua na kaz nyng Kama kuperuz........... Na kilikua nasehem ya simcard pia kilikua kikubwa na kilikua port za ac cable
mmh ile ilikuwa semi computer kabisa kabisa hata sijui ile project imeishia wapi tena,kama nakumbuka sawasawa walikuwa wakiuza moja laki 2!!!
 
hv vitu vipo vingi sku hz tatizo internet speed. sjajua kama wachina hawajaleta vya tv za zamani ambazo ni za resolution ndogo.
aaah mchina tena hashindwi kitu yule bado tu havijaanza kumwagika kariakoo wenzetu na sisi tuvikimbilie
 
Back
Top Bottom