Teknolojia ni Yetu sote
JF-Expert Member
- Apr 28, 2020
- 1,293
- 2,619
Nashukuru π naona unazo nyingi nipatie moja basiTafuta hela, achana na Google
Mimi naionea huruma inavyoenda kuuza chrome kisa maamuzi ya mahakama. imetumia miaka mingi kuifanya iwe web browser yenye watumiaji wengi zaidi leo wanaenda kuiuza kwa lazima... Pia chrome OSView attachment 3332903
π Kampuni pendwa ulimwenguni Google imefanikiwa kubadilisha logo yake yenye nembo ya G kwa kuweza kuweka muundo mpya kwa kuweka rangi katika muundo wa soft transition style.
View attachment 3332904
π Japokuwa Rangi Bado zitabaki vile vile lakini muundo huu mpya imewekwa inafanana na style ya Rangi ya mtandao wa Instagram.
View attachment 3332905
Unasemaje kuhusu mabadiliko haya !!!!
Msitu Mpya, Nyani Wale waleMsitu ule ule nyani wale wale
Na inakuuliza km umeridhika na majibu πChatgpt kaja kuitia kidole gugo, siku hizi gugo sio ishu tena.
Gugo ukiiuliza swali, inakupeleka kwenye website.
Chatgpt ukiiuliza swali, inakujibu na kisha inakupeleka kwenye website.
Nashukuru π naona unazo nyingi nipatie moja basi