Google I/O bongo imekuaje?

Kang

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2008
Posts
5,694
Reaction score
2,591
Imekuaje Bongo hakuna Google I/O Extended event mwaka huu? Miaka iliyopita ilikuwepo Costech.

Google I/O ni event inayofanywa na Google kila mwaka kuonyesha technolojia zao mpya, hasa zikiwalenga developers wanaotumia technolojia hizo.
Technolojia za Google ni pamoja na Android OS, Chrome, Chromebooks, Google Cloud, Android Studio, Angular JS, YouTube, Gmail etc.
Inafanyika Mountain View California May 17-19, pia inarushwa live online.

Ramani ikionyesha Google I/O Extended event zitafanyika wapi May 17-19

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…