Public Enemy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2011
- 3,064
- 3,633
Screenshot hio juu mkuuJaribu kufungua. ikikataa chukua screenshot alaf iposti hapa. Ili tujue pa kuanzia
Nimejaribu kui update haitaki pia. Natumia internet Binafsi mkuu.Hapo nimekusoma sasa. kumbe kuna baadhi ya site ndio haifungu.
cha kwanza UPDATE CHROME
Hakikisha Tarehe ya hiyo computer yako ipo sahihi.
Je unatumia internet binafsi au ya ofisi (naomba kujua chanzo chako cha internet)
π π π Nashkuru.anatumia internet ya serikali,nadhani angesubiri muda wa masaa ya kazi upite then ndio ajaribu tena..
uninstall , tembelea Google Chrome 69.0.3497.58 Beta. Then download hiyo web installer then install while upo connected kwa internet.Nimejaribu kui update haitaki pia. Natumia internet Binafsi mkuu.
Chrome mara nyingi inashare na setting za pc wakati mozilla firefox inajitegemea. Download firefox kwanza kisha angalia inaleta hilo tatizo?Wakuu habari ya muda huu, ninapatwa na shida hii katika Laptop HP 630 CORE I3. Chrome pamoja na chromium zote hazifunguki. Zinaleta ujumbe huo. WINDOWS INTERNET EXPLORER INAFUNGUKA LAKINI HAIFUNGUI SITES NINAZOTAKA. Naombeni msaada.View attachment 852136
Firefox nayo imeleta tatizo hilo hilo.Chrome mara nyingi inashare na setting za pc wakati mozilla firefox inajitegemea. Download firefox kwanza kisha angalia inaleta hilo tatizo?