Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,822
- 5,425
wakuu hiyo kitu mi inanichanganya sana,coz kila niki sign up ili niweze kupata matangazo kwa blog yangu,inanigomea,wanasema nitajibiwa baada ya saa 24 lakini hakuna chochote kinachokuja.nifanyeje au nitumie njia gani niweze kupata matangazo katika blog yangu???????? nawakiilisha
Blog yapo ina top level domain? Google wamesitisha kutoa matangazo kwa website zenye subdomain maana wanaona hawapo serious.
Top level domain ni mfano
Abc.com au abc.net au abc.org au abc.co.tz
Subdomain ni kama
Abc.wordpress.com au abc.blogspot.com au abc.webs.com
ni subdomain mkuu.Kwa hyo hakuna njia nyingne ya kupata advertisment.
nasmiletz.Blogspot.Com
wakuu hiyo kitu mi inanichanganya sana,coz kila niki sign up ili niweze kupata matangazo kwa blog yangu,inanigomea,wanasema nitajibiwa baada ya saa 24 lakini hakuna chochote kinachokuja.nifanyeje au nitumie njia gani niweze kupata matangazo katika blog yangu???????? nawakiilisha
Blog yapo ina top level domain? Google wamesitisha kutoa matangazo kwa website zenye subdomain maana wanaona hawapo serious.
Top level domain ni mfano
Abc.com au abc.net au abc.org au abc.co.tz
Subdomain ni kama
Abc.wordpress.com au abc.blogspot.com au abc.webs.com
google ads ina cost dollar ngapi?? please nijulishe
Pole kaka, kwa kawaida inachukua zaidi ya saa 24, inaweza kuchukua mpaka wiki moja au hata mwezi mzima (mimi ilinichukua mwezi mzima) ndio wakajibu.
Lingine nimeona blog yako ni ya kiswahili, nina wasiwasi kwa sasa hawakubali kiswahili, angalia language zinazokubalika primarily What languages does AdSense support? - AdSense Help
ushauri: unaweza ku apply ukianzia na blog/web yenye lugha ya kingereza kisha uka hamisha ad-sense code kwenye hii blog yako ya kiswahili. Kila la heri
ni kweli wana discourage sub domains ila kwa Blogger huwa wanaikubali sana, nimemshauri hapo abadilishe lugha! Lingine Deejay nasmile niambie unaona msg gani wakati unaloging hapa? http://www.google.com/adsense nikijua msg inayojitokeza nitaweza kukusaidia pia kujua tatizo! lakini tatizo la kwanza nimeona ni language, they dont support swahili at the moment!
kweli kabisa sijui watakuwa na nini kimewasibu.google nao hawana maana why wanakataa lugha ya kiswahili wakati wanakubali matangazo ya kiswahili?
Wanajisifu wanadisplay matangazo kwa jinsi vile mtu anavohitaji but they are wrong
Kama mtakua makini now kuna matangazo kibao ya tigo kwa lugha ya kiswahili katika adsense
kwangu mm nilijaribu kuweka kama kawaida ikanisumbua,sasahv nataka kutafuta mdhamini wa blog yangu,au nyie mnaona na hii ya kutafuta mdhamini imekaa vipi?
Pia ningependelea wote tunaochangia huu uzi tukaweka hapa link za blog zenu then tukabadilishana maujuzi

naweza kukusaidia, nina account za adsense 6, ninakufungulia kama utahitaji, tuwasiliane 0767102102