Mimi hata sijahangaika mbona.
Niliomba tu ndani ya saa 24 nikapata.
Unapost ngapi tuanzie hapo.Wadau kwanini Google Adsense sasa hivi imekuwa sana shida kuipata? Vigezo hadi kero!
Bloggers mliowin embu tupeni maufundi maana kampuni zingine hizi mizinguo sana, sijui ni kwangu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyingi mno blogg wamefika lak moja saiv.Unapost ngapi tuanzie hapo.
Unamaanisha Nini hapa
ipo ya .com nauza kama unafika 300000 njoo 0624884870Wadau kwanini Google Adsense sasa hivi imekuwa sana shida kuipata? Vigezo hadi kero!
Bloggers mliowin embu tupeni maufundi maana kampuni zingine hizi mizinguo sana, sijui ni kwangu tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu vipi medianet iko vizuri?
Sio bongo labdaMkuu hizi sio zangu,lakini mbona watu wanapiga mpunga na adsense
View attachment 1458642View attachment 1458643View attachment 1458644