Habari zenu wakuu,
Leo nimepata account ya google adsense lakini niikienda kwenye setting za blog yangu pale kwenye earnings inakataa kusave changes ningependa kujua shida ni nini au kwasababu natumia sub domain??
Nenda Adsense.com >>>Add Unit>> New Ad unit then utapewa Codes za kuweka kwenye blog yako ...utaenda kwenye dashboard yako upande wa Layout ..upaste hizo code pale unapotaka tangazo lako lionekane