Mkuu
Ana crossover kwenye mainstream!
Usidhani unaweza mpangia artist cha kufanya!
Unataka kumuwekea limit ya ubunifu wake!
Kama miziki mumeiweka kwenye boxes kwa definitions zenu rigid
Basi yeye ana redefine na kuweka limits anazotaka kama artist!
Kama wewe binafsi unaona sio dini ni sawa na kama unaona dini ni sawa!
Judge the way you want!
Na hivyo unachofanya ndio kinatakiwa kama hadhira!
Judge weee,then jipatie majibu mwenyewe,then kalale,then hakuna kitu!
Muacheni!