Huyu Good luck ni mmoja wa askari waliokuwa kwenye lile kundi la Magufuli la watu wasiojulikana. Huyu na wenzake ndio waliokuwa wanateka watu, kuwaua na kuwafunga mawe na kuwatupa baharini. Wamepanga na kuendesha operation za kikatili sana kwa wale wote waliokuwa wanaipinga na kuikosoa serikali ya Magufuli. Kwa sasa yeye na wenzake wanaweza kuendelea kuwa salama kwani waIitekeleza unyama ule kwa maagizo ya Magufuli. Ila iko siku kundi hilo na uchafu wao utakaa wazi na watakutana na mkono wa sheria. Huyu Goodkuck atakuwa anajua vizuri sana nani walimshambulia Tundu Lisu, waliomteka Ben Saanane, Azory Gwanda nk. Na kama wamezikwa anajua ni wapi.