Good time mjengoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Good time mjengoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by VAPS, Jul 10, 2012.

 1. VAPS

  VAPS Senior Member

  #1
  Jul 10, 2012
  Joined: Jul 10, 2012
  Messages: 122
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 45
  TBC leo wakirusha live majira ya saa saba kasoro waheshimiwa 2 M&F wamejisahau ,wkt mh.mbele yao akichangia W.maji. wao wakawa km wapo club ,kutuchanganya zaidi baada ya story say 5min, wakatoka kwa kufuatana! !! japo wanakinga hawatendei haki muda na kodi za Wadanganyika.The comedi rusheni hy mtoe somo!!
   
 2. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #2
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Du kusema ukweli kama wamefanya hivo hao TBC hawana kazi, maana hata taarifa ya habari tu wanaandika then wanamtumia editor amabae yupo serikalini ndo anwaambia ipi ya kurusha na ipi yakutokurusha sasa hiyo itakwenda na mtu
   
 3. KIMBURU

  KIMBURU JF-Expert Member

  #3
  Jul 11, 2012
  Joined: Jan 12, 2011
  Messages: 210
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kweli kabisa mkuu mwenyewe nilikuwa nafuatilia hilo tukio, alikuwa ni Prof Juma Kapuya na kadem gan sijui kale wakati yule mama wa kihaya anachangia bajeti ya maji. Pale kilichofuata lazima walienda ku do.
   
Loading...