Good Researcher looking for a Job

rkgx

Senior Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
100
Reaction score
81
A good researcher with rich experience in data collection tools is searching for a job.
 
ndugu ungeweka na namba ya simu kabisa ili watu wakutafute
 
Soma heading vizuri maana people are confusing things down here.
 
Soma heading vizuri maana people are confusing things down here.
modogo wangu nakuhakikishia kwa jinsi ulivyoweka post ilivyo shallow, hutapata kazi kupitia post yako. Mimi nimetangaza nafasi nyingi kupitia my ID hapa JF. lakini hata kama ningekuwa interested kuku-link nitashindwa because you have put shallow post. Jifunze kutengeneza tangazo zuri lenye mantiki.. watu wakiwa interested na your qualities watakutafuta.
 
mmmmmh.....kama sijaelewa vibaya unasema una uzoefu in data correction tools? nina wasiwasi kama una uzoefu wowote wa maana.
 
A good researcher with rich experience in data collection tools is searching for a job.

Kama ni mtaalam pia wa kuanda research proposal, ninakushauri google Horizon 2020 utapata kitu cha kufanya
Aksante
 
BADAF; That is a very sound advice pamoja sana.
 
Last edited by a moderator:
Asanteni sana kwa maoni yenu but to be honest hii attitude tuliyonayo ya kukosoa vitu ambavyo tuko less informed navyo will take us nowhere and bad enough it will do us no good, kuwa mkweli hii advert imenipatia dili bt anyway thank you guys once again..!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…