Ulishamjua demu mtaani kisha akawa anafukuziwa na a nice guy hadi ukawa unamwonea huruma jamaa?Yaani tena usithubutu kabisa don't be nice
Wanawake wanapenda Ujinga Ujinga + masihara utani Kwa sana ndio unaweza kuwapatia Ukiwa serious sana mtu wa Imani Kwa sana unaleta u-gentle mpaka ktk kukulana itakula kwako
SahihiUkwel kabisa,,,,,
Mwanaume unatakiwa kuwa rude,,,,
Mtu flan hueleweki, hutabiriki ,,,, usimpe nafasi mke/mpz wako akuelewe ama azijue ratiba zako zote !
Ukiwa kunako sasa, uchungaji weka pembeni endesha gari haswa, piga kama unaua nyoka !
Kama hauijui haina makombo....Ila kama mmeifuatilia wengi ila wewe ukawa wa mwisho kuipata....hapo kuna tatizo.Uzuri wa maQu haina~ga makombo. Unakutana na mwanamke (mke wa mtu) mnakulana na chumvini uzama kama huna akili nzuri vile!
Mfano hapa JF watabaki kulike na kutaniana na mrembo wanaemwelewa ila kuzama pm au ku-make move ya kukutana au kupewa namba wanachelewa. Wanawake hawahitaji mtu mstaarabu, mwelewa elewa au wabaridi. Wanahitaji mtu anayeweza kubreak rules.
MaQu haina kuwahi wala kuchelewaKama hauijui haina makombo....Ila kama mmeifuatilia wengi ila wewe ukawa wa mwisho kuipata....hapo kuna tatizo.
Kumbe ulishawahi kuwa simp hapo kablaUlishamjua demu mtaani kisha akawa anafukuziwa na a nice guy hadi ukawa unamwonea huruma jamaa?
Ishanitokea mara kibao.
Most of mans wanapitia hiyo phase kwenye maisha, ni muhim ili kumjenga huko mbeleKumbe ulishawahi kuwa simp hapo kabla
🤣🤣🤣🤣🤣Kwamba wanaleta U gentle mpaka wapi???Yaani tena usithubutu kabisa don't be nice
Wanawake wanapenda Ujinga Ujinga + masihara utani Kwa sana ndio unaweza kuwapatia Ukiwa serious sana mtu wa Imani Kwa sana unaleta u-gentle mpaka ktk kukulana itakula kwako